Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifuturu pamoja na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk.Amani Kaborou,Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma
Mohamed Nyawenga na Mbunge wa Manyovu Albert Obama.
Baadhi
ya Mabalozi wa nyumba kumi na wakazi wa Kigoma mjini wakifuturu leo
31Julai 2013 katika ofisi za CCM wilaya ya Kigoma Mjini.
Baadhi ya Mabalozi na wakazi wa Kigoma mjini wakipata futari
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza machache baada ya
kufuturu na Mabalozi wa nyumba 10 ambapo alisisitiza Watanzania kutunza
amani waliokuwa nayo.
Sheikh Mustafa Halfan Kiumbe akisema maneno machache kabla ya kumkaribisha Sheikh Mkuu wa Kigoma.
Katibu
wa NEC itikadi na Uenezi akishiriki dua iliyoongozwa na Sheikh Hassan
Idd Kiburwa leo baada ya kufuturu na mabalozi wa nyumba 10 wa Kigoma
mjini.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya mabalozi
wa nyumba 10 kutoka Kigoma mjini ambao alifuturu nao pamoja.
Wajumbe wa kamati ya utekelezaji kutoka wilaya ya Kigoma mjini wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kufturu .