Rais
Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13,
2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka
heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa
Wizara ya Ulinzi Upanga jijini Dar es Salaam. |