Friday, May 9, 2014

JINSI YA KUPANGA NGUO, VIATU,HANDBAGS KABATINI

Kwa  mwanamke yeyote au msichana yeyote mrembo anapaswa kupanga kabati lake la nguo vizuri na kwa adabu,hapa namaanisha viatu vyake,nguo zake,handbags zake na urembo wowote mwingine.
Inapendeza unaingia chumba cha mwanamke ni kisafi na kinavutia sio mavitu yako ovyo ovyo tu viatu kule,bags uvunguni hata kama tunaufinyu wa nafasi katika vyumba vyetu basi tuwe wabunifu kidogo.kamahauna sehemu ya kutosha unaweza nunua stands kwa ajili ya kuweka handbags zako,nunua shoerack kwa ajili ya kuweka viatu vyako,kabati dogo la nguo au hata kasanduku kadogo inapendeza kwa kweli.

Vilevile kama una space ya kutosha arrange vitu vyako kwa ukubwa wa nafasi tubadilike kidogo,pia tujifunze piga nguo pasi na kuweka sio tunakusanya minguo haijapigwa pasi ,siku umeme umekatika tabu tupu,au tunaweka viatu vichafu ndani ya nyumba haipendezi mtoto wa kike ,umevaa kiatu chako kama kichafu umerudi home kifute ndio upange sio kiatu unavulia mlangoni unaacha kinanyeshewa na mvua ndio unaleta ndani.