Tuesday, September 3, 2013

JISHINDIE VOCHA YA ELFU MBILI LEO KWA KUJUA NANI ALIONGEA MAWANENO HAYA NA NI KWENYE FILAMU GANI

Kila kitu katika dunia huwa ni sawa na marafiki ambao hawaja kutana, kama ulikuwa mwema basi jua kuna hatima njema ambayo bado huja kutana nayo, na kama ukikuwa mwovu basi jua kuna hatima mbovu ambayo bado huja kutana nayo, ila wakati muafaka ukifika huwezi kuuliza hiki kimetokea wapi wala hiki kimetokea wapi?
Maisha yetu ya kila siku na matendo yetu, ni sawa na shamba,uchafu au uzuri wa nafsi zetu ni mbolea kwa hiyo matokeo ya baya au uzuri ni mazao tuliojipandikizia wenyewe.....
Listen.....
In this word we have winced by two segments JOY and PAIN, Joy gives us wind, in term of joy our strength is more vital our intellect inner and understanding is less graded  we seem better able to cope with the world and to fit out sphere of the useful but when the sadness visit us we become weak, our strength leaves our comprehension is deep, our intelligence is veiled.The actualities of life seem to elude our grasp and eyes of our spirit fails to discover the sacred mysteries,we become mores we even become more as died beings
There is no human being untouched by these two influences, but all the sorrows and graft that exist from the world of matters the spirtuals world be choice only the joyif we surffer.
it is the outcome of the material things but the trials and troubles that comes from this world of illusions
Pain and Joy are within you if we succeed to beet pain internally yourself you can manage to leave.