Tuesday, February 4, 2020


 Eneo lenye Heka 1 Lipo Km 3 kutoka Dumila linauzwa na lina nyumba yenye vyumba 4 moja master bedroom, Dining hall kubwa, Sebule kubwa, Public toilet.
*Ipo Barabara ya Dumila kwenda Kilosa .
*Ina umeme wa Tanesco tayari.
*Ina madirisha ya grill bado Vioo na celling board.
*Servant quotars,
*Underground Water tank ya 12,000Litres
* Choo cha nje na bafu lake.
* Septic tank kubwa na la kisasa imekamilika.
*Garden ya Kisasa yenye miti ya matunda.
*Banda kubwa kwa  mbele unaweza kutumia kama bar au sehem ya kupumzika.
*Frem moja

Piga simu kwa ajili ya na Maelezo be

0745333311
0686592710