Tuesday, April 15, 2014

NAMNA YA KUPENDEZESHA MAZINGIRA NJE YA NYUMBA YAKO.

NAMNA YA KUPENDEZESHA MAZINGIRA NJE YA NYUMBA YAKO.

Kama una nyumba na uwezo wa kufanya mazingira ya nyumba yako yakawa mazuri basi huu ndio muda wa kuwa nasi na tuna weza kukushauri ninincha kufanya bure!!! kuipendezesha kwa kusakafia baadhi ya eneo kwa mawe au matofali.Sakafu hizi huweza kujengwa kwa aina mbalimbali kulingana na ukubwa wa sehemu. Pia Unaweza kutumia mawe au matofali kama vile mawe maarufu ambayo huitwa (Tanga stone,block pavings na kadhalika ).
hizi ni baadhi ya aina za sakafu hizo: